Msaada: Simu yangu inadai nii Update inagoma inadai device imejaa

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,796
Nimejaribu ku delete app baadhi na nyingine nimezi desable na video nimefuta na picha nyingine nimehamishia kwenye memory card lakini kila nikiaptdate inaniambia device imejaa bado.je?ku a madhara yoyote nisipofanya?
 
Ni kawaida na hata iphones kama imejaa na file ni kubwa kuliko nafasi iliyopo,inakugomea.

Kagua ukubwa wa file la update,angalia na nafasi iloyobaki kwenye simu kama vinaendana.
Ukiona jau afadhali hamisha vitu,iformat kisha update halafu uvirudishe..
 
Nimejaribu ku delete app baadhi na nyingine nimezi desable na video nimefuta na picha nyingine nimehamishia kwenye memory card lakini kila nikiaptdate inaniambia device imejaa bado.je?ku a madhara yoyote nisipofanya?
Hapa inawezekana unafuta vifile vidogo vidogo tu kama picha haitasaidia.

Cha Kwanza nenda setting Kisha storage kisha Angalia mchanganuo wa simu yako, kitu gani kimetumia sana storage ya simu?

Hapo utajua una free storage ngapi na kipi ufute.

Kikawaida kama update ni GB 1 Unahitaji angalau GB 4 free ili uweze ku-install kwa usahihi.
 
Nimejaribu ku delete app baadhi na nyingine nimezi desable na video nimefuta na picha nyingine nimehamishia kwenye memory card lakini kila nikiaptdate inaniambia device imejaa bado.je?ku a madhara yoyote nisipofanya?
Hebu jaribu kuangalia Chrome browser na YouTube Go uone yaweza kuwa ndizo zinakuletea stress.

Kazichinjie kule kwenye apps manager kwa kuclear data zake uone.

Sent from my cupboard using mug
 
Back
Top Bottom