Rudisha Simu kwa mwenyewe. Chukua namba hiyo inayoonekana kwenye screen wasiliana nae kabla hajaenda kuripoti polisi. Kuwa mstaarabu mkuuHabari wakuu poleni na majukumu..Nina simu yangu HTC DESIRE niliinunua kwa mtu kama miezi mitatu iliyopita na nikawa naitumia kama kawaida. CHA AJABU leo jioni nilivyoingia Facebook simu ikaji-RESTART halafu kuna namba ngeni ikawa inapiga lakini nilivyotaka kupokea ikagoma ikajizima tena na kujiwasha, mara baada ya kuwaka ukatokea ujumbe kwenye screen ukisomeka "RUDISHA SIMU YANGU" Punde tu ikajizima tena...nikaiwasha naona IMEJIFORMAT nikaanza kuchagua lugha na inadai EMAIL na PASSWORD.......MSAADA TAFADHALI Maana hata sijui ndo HACKERS kwenye ubora wao au ni vipi.
π π π π πSimu ya wizi hiyo,sasa mwenyew anaitrack...mpigie jamaa kwa namba iliyotokea hapo mwambie ulipo umpe simu yake.
Na asipofanya hivyo atafungwa [emoji23][emoji23][emoji23]Simu ya wizi hiyo,sasa mwenyew anaitrack...mpigie jamaa kwa namba iliyotokea hapo mwambie ulipo umpe simu yake.
App gani hapo imetumika?Simu ya wizi hiyo,sasa mwenyew anaitrack...mpigie jamaa kwa namba iliyotokea hapo mwambie ulipo umpe simu yake.
Namba yenyewe nshaisaau ilijitokeza mara moja tu kabla haijajiformatRudisha Simu kwa mwenyewe. Chukua namba hiyo inayoonekana kwenye screen wasiliana nae kabla hajaenda kuripoti polisi. Kuwa mstaarabu mkuu View attachment 1193839
Hakuna app nilizodownload za design iyoUnakumbuka app ambazo ulizipakua labda kutoka unknown source au hata PS tofauti na Facebook na ndugu zake?
.
Kuna app za kijinga sana huwa zina run background hasa wakati data zikiwa on na sim kama imeelemewa na mzigo au kuOver heat inaweza kupelekea hali hiyo
App gani hapo imetumika?
Jamani mbona mnanitisha tena..!?
Na asipofanya hivyo atafungwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa usalama wako, nenda polisi wakusaidie kumtafuta aliekuuzia vinginevyo unasubiri tatizo kubwa zaidi.Namba yenyewe nshaisaau ilijitokeza mara moja tu kabla haijajiformat