Msaada: Simu yangu haipokei simu wala Meseji

abdukarim

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
476
591
Simu yangu tecno w5 lite, hii ni siku ya pili haipokei simu yoyote na meseji wala Whatsap huwezi kuziona direct zikiingia.

Naomba kusaidiwa tafadhali
 
Back
Top Bottom