Download ADM alaf uhakikishe notifications Ipo on,App yeyote haionyeshi
kuna app inaitwa downloads, icon yake inakuwa kwenye homescreen icheki ipo? kama ipo unapodownload kitu ukiingia hio download ipo?Chief ilikua inaonyesha kila kitu nikifuanyacho but siku moja sijui niligusa sehemu ip, na haionyeshi tena japo nikitaka download inakubali tatzo haionyeshi kama kuna kitu kinaendelea
Hebu ingia "Setting" then click"App manager" kisha ndan ya apps list itafute hyo "download manager" kisha iclick itakupa app "info" sasa angalia sehemu ya "show noticification" kama kuna ki "tick" kama akipo kiweke sasa kisha restart sim yko.Uko sahihi mkuu, nipe taratibu
Ahsante mkuu kwa msaada wako nimefanikoshaHebu ingia "Setting" then click"App manager" kisha ndan ya apps list itafute hyo "download manager" kisha iclick itakupa app "info" sasa angalia sehemu ya "show noticification" kama kuna ki "tick" kama akipo kiweke sasa kisha restart sim yko.
Pamoja mkuu.Ahsante mkuu kwa msaada wako nimefanikosha