Msaada: Simu yangu aina ya Samsung A3 inakataa kuingiza chaji

mojave

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,564
6,403
Natumai mu wazima

Naomba kupata msaada juu ya simu yangu( samsung A3) inakataa kuingia chaji na kuandika NOT CHARGING NA KUANDIKA OVER HEATING HATIMAYE KUJIFUNGA APPLICATIONS ZOTE ZINAKUWA HAZIFANYI KAZI, hata kupiga simu ninakuwa siwezi labda emergency call tu.

Je, nini tatizo na utatuzi wa tatizo hilo ni upi?
 
Cm nying za skuhiz znachagua
chaja kama co chaja ya hyo cm
Nenda na hyo cm katafte chaja
Yake hz za wachina co chaja n
Takataka
 
Wadau mi Nina techno Y3+ nikichomeka charger inaandika charging alafu badala ya asilimia kupanda labda ilikuwa 10% ukiangalia baada ya muda unakuta 9% naombeni msaada kwa anayefahamu
 
Wadau mi Nina techno Y3+ nikichomeka charger inaandika charging alafu badala ya asilimia kupanda labda ilikuwa 10% ukiangalia baada ya muda unakuta 9% naombeni msaada kwa anayefahamu
Simu yako mkuu inafanya magazijuto
 
Wadau mi Nina techno Y3+ nikichomeka charger inaandika charging alafu badala ya asilimia kupanda labda ilikuwa 10% ukiangalia baada ya muda unakuta 9% naombeni msaada kwa anayefahamu
Badilisha betri kwanza ikikataa badilisha charger ikishindikana ndo ubadilishe cctm charge
 
tafuta fund mzur atalisolve siyo kubwa hata ukigoogle sim inayo andika hivo watakuonyesha jins ya kulsove
 
Back
Top Bottom