MSAADA:Simu ya W5 inasumbua

MSAADA:Simu ya W5 inasumbua

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,189
Heshima kwenu wakuu
Nina simu ya W5 inasumbua, nikidownload vitu (pictures,videos and documents) baada ya muda Kama wiki moja nakuta vile vitu vimejifuta Au wakati mwingin pictures zipo Ila hazidisplay.
Nimejaribu kubadilisha storage Ya simu kwenda kwenye external memory lkn Tatizo Bado lipo na memories zote zina space za kutosha.
Naombeni msaada wenu
NAWASILISHA
 
Simu za tecno bila kuweka custom roms zinasumbua sana... Tafuta custom rom ya hiyo w5
 
Back
Top Bottom