Kaka nimejaribu lakin wapiUkiweka gesture navigation vinapotea Hivyo vidude.
Nenda setting Kisha system Kisha navigation, set mwenyewe unavyotaka iwe.
Naomba nisaidie namna nyingine maana kuna muda nataka kuzima data inabidi nieende setting apo inakua kero nikishusha notifications inagoma ila kuna muda inakubaliUkiweka gesture navigation vinapotea Hivyo vidude.
Nenda setting Kisha system Kisha navigation, set mwenyewe unavyotaka iwe.
Jaribu kutumia simu kwa landscape unaigeuza kama unacheza game je unaweza kuishusha notification bar ikiwa Hivyo?Naomba nisaidie namna nyingine maana kuna muda nataka kuzima data inabidi nieende setting apo inakua kero nikishusha notifications inagoma ila kuna muda inakubali
Sent from my YAL using JamiiForums mobile app
Je umekonect chaja na iko inachaji?
Jaribu kuchomoa chaja halafu uone kama tatizo limeisha. likiisha jua tatizo ni chaja.
Nimejaribu pia lakin wapiJaribu kuchomoa chaja halafu uone kama tatizo limeisha. likiisha jua tatizo ni chaja.
Imenibidi ni download simple controlNjia iliyobaki ni kufanya reset tu, wipe data then tuone.
NB: Itafuta kila kitu kama kuna vitu vya msingi bora uhamishe kwanza.
jaribu kufungua hata sms kwanza kisha hakikisha umeiset auto rotate,kisha ilaze ushushe pazia,ikikubali basi ujue shida ni kioo.Naomba nisaidie namna nyingine maana kuna muda nataka kuzima data inabidi nieende setting apo inakua kero nikishusha notifications inagoma ila kuna muda inakubali
Sent from my YAL using JamiiForums mobile app