Msaada simu ya android vinus v8 Imejilock

Msaada simu ya android vinus v8 Imejilock

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Kuna simu ya android aina ya vinus v8. Simu hii ilikuwa imefungwa kwa pattern kuna mtu alichora mara nyingi wakati hajui mwenyewe alifunga kwa mchoro gani, matokeo yake simu ikajifunga ikawa inadai akaunt ya gmail ila mwenye simu alisahau password ila tulireset pass na ikakubali ila ukiingiza zile details bado inadai valid email or pass.

Je wataalam android kuna njia nyingine rahisi ya kuifungua simu hii au mpaka kuflash
 
Kama vp nipm katika hii namba nitakusaidia Bro! -
+255768501214
 
oi inakuaje,nna cm kama yako af imepata same problem vp ww ulifanyaje?????
 
Back
Top Bottom