Msaada: Simu nzuri kwa bajeti ya laki 7-8

Msaada: Simu nzuri kwa bajeti ya laki 7-8

Asante,ina sifa zipi mkuu
Zote unazozitaka zipo katika hio simu ila kwenye sharing of contents ndio utakuwa limited. Aidha utumie itunes kuchukua nyimbo kwenye p.c mambo ya bluetooth hamna na app za maana itakubidi uwe unanunua
 
we soma yote ukimaliza nichek nikuuzie SAMSUNG GALAXX s7 used in good condition.. shida zote utamaliza na change inabaki kwenye hiyo hela..
 
Zote unazozitaka zipo katika hio simu ila kwenye sharing of contents ndio utakuwa limited. Aidha utumie itunes kuchukua nyimbo kwenye p.c mambo ya bluetooth hamna na app za maana itakubidi uwe unanunua
Asante sana mkuu
 
Wasalaam

Naomba msaada nimetenga laki 7-8 kwa ajili ya simu,je ni simu gani nzuri zaidi kwa bei hiyo ambayo itanifaa?

NB;napenda sana simu nyembamba na nyepesi,pia camera bora kwa ajili ya kazi zangu.
6186bb613f1672878537f6070027802f.jpg
7f168e90304b424987ee315c7ca28376.jpg
lete pesa nikupe iphone 6
 
Back
Top Bottom