Msaada: Simu nzuri kwa bajeti ya laki 7-8

Msaada: Simu nzuri kwa bajeti ya laki 7-8

Hiyo hela ni ya tecno.iphone huwezi wewe na vihela vyako vya nyanya
Ukute unatumia Tecno ya 150,000/= na imeshaanza ku-stuck stuck ni vile tu hatukuoni hapo ulipo na wivu wako huo uliokujaa,sio fresh man kudharau cha mtu bora ukapita kimya.
 
Ukute unatumia Tecno ya 150,000/= na imeshaanza ku-stuck stuck ni vile tu hatukuoni hapo ulipo na wivu wako huo uliokujaa,sio fresh man kudharau cha mtu bora ukapita kimya.
Thanks sana mkuu
 
Hakuna kucharge hovyo wala kulipuka au kupata moto.
Thanks mkuu,kati ya infinix iyo unayozungumza wewe na hii samsung s8 second hand ipi nzuri zaidi?
Nb;kama unazifahamu vizuri
 
6186bb613f1672878537f6070027802f.jpg
7f168e90304b424987ee315c7ca28376.jpg
lete pesa nikupe iphone 6
Nipe sifa zake mkuu
 
Nyembamba nyepesi ina ram kubwa camera nzr sio kubwa sana kwa umbo inakaa fresh mkononi
Thanks mkuu,kuna mtu kanishauri humu humu iphone zina limitations nyingi,nimeuelewa vizuri ushauri wake.nafikiri kati ya samsung s8 second hand au infinix
 
Back
Top Bottom