Msaada simu Nokia Lumia 510

Msaada simu Nokia Lumia 510

mutimba

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
19
Reaction score
0
1. Ninapoitumia hasa kwenye internet inapata joto sana na charge haikai muda mrefu inazima.
2. Wakati mwingine inaishiwa charge wakati IPO kwenye kuchaji!
3. Tatizo hili limeanza zaidi ya juma moja wakati nimeitumia miaka 2 bila usumbufu!
4. Anayejua jinsi ya kutatua tatizo anisaidie tafadhali.
 
wanakushauri
wao wenyewe kwamba tatizo linatatuliwa kwa kuipeleka simu katika Nokia
care centre,.sasa sijui kama bongo zipo sehem kma hizo
1. Ninapoitumia hasa kwenye internet inapata joto
sana na charge haikai muda mrefu inazima.
2. Wakati mwingine inaishiwa charge wakati IPO kwenye kuchaji!
3. Tatizo hili limeanza zaidi ya juma moja wakati nimeitumia miaka 2
bila usumbufu!
4. Anayejua jinsi ya kutatua tatizo anisaidie tafadhali.
 
Okay,nashukuru kujua hilo na nitaendelea kuitumia nikitafuta ufumbuzi
WA kudumu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom