Shukrani mkuu, nitajaribu kufanya hivyoKama unatumia sd card itoe jaribu kutumia memory ya simu tu.. Cha pili futa apps ambazo sio za muhimu kwako, picha, videos na miziki.. Cha tatu uwe una clear used apps mara kwa mara.. Kama ukizingatia hatua hz hutasumbuka na cm yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu, maana mimi pia nilisha reseat lakini haikusaidia...Hizi Spark series zitakuwa na shida flani,mimi nina Spark 9 nayo inasumbua hivyo hivyo,najua solution hapo ni kufanya factory reset,sasa nikifikiria kuanza nayo moja kuna vitu vingi nitapoteza wacha tu niwe mpole...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana. Tena hilo ni tatizo kubwa.Ndio mkuu, inaweza ikawa inachangia?
duh....!!! Ndio mtihani wenyewe maana kuna apps za burudani kweli...Sana. Tena hilo ni tatizo kubwa.
Toa hiyo memory card. Futa na apps zisizo na muhimu.
Bakiza angalau whatsApp na Jamiiforums.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahh k9 kila mara naletetewa tatizo camera ila tecno mungu anawaonaHizi Spark series zitakuwa na shida flani,mimi nina Spark 9 nayo inasumbua hivyo hivyo,najua solution hapo ni kufanya factory reset,sasa nikifikiria kuanza nayo moja kuna vitu vingi nitapoteza wacha tu niwe mpole...
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hizi simu ndio mafundi wengi wanashi vizuri wewe weka spares za tecno tu pesa chapchap W3 baba wa matatizoWenyewe wanaotumiaga simu wana msemo wao kuwa tecno ni kifaa cha simu au calculator eti
Kama unatumia sd card itoe jaribu kutumia memory ya simu tu.. Cha pili futa apps ambazo sio za muhimu kwako, picha, videos na miziki.. Cha tatu uwe una clear used apps mara kwa mara.. Kama ukizingatia hatua hz hutasumbuka na cm yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh mkuu mbona nina apps nyingi zenye faida zaidi ya hizi?Sana. Tena hilo ni tatizo kubwa.
Toa hiyo memory card. Futa na apps zisizo na muhimu.
Bakiza angalau whatsApp na Jamiiforums.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hakika ila mara nyingi glass protector km imechoka huwa simu hujibinya yenyewe pia.Mimi nina tecno cx air ila tatizo ni kwamba inakuwa inajibonyeza yenyewe bila kuguswa ,aiseee nasumbuka sana ,yani unataka kwenda mbeya inakupeleaka moshi.msaada plse
Sent using Jamii Forums mobile app