Eternally to be
Member
- Oct 30, 2021
- 54
- 58
Mara kiswahili mara Kingereza, mbona 1 na 2 zinanichanganya akili mimi Mmatumbi?Wakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo, simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi mitano make nilinunua refurbished shida imekuja baada ya kufactory data reset. Na maana yake nikisema nitatue hili tatizo kwa kudisable Google services sitoweza kutumia playstore, email services almost vitu vyote vya msingi vinavyohusu Google kwenye simu
Mkuu kuna baadhi ya maneno nikiyataja kwa kiingereza ujumbe unakuwa rahisi kueleweka kuliko kuyataja kwa kiingereza. Ukiona unachanganywa basi Jua kwamba huna unachokijua katika hayo masuala, fanya kuwaachia wasiochanganywa.Mara kiswahili mara Kingereza, mbona 1 na 2 zinanichanganya akili mimi Mmatumbi?
Nimereset vya kutosha lakini tatizo linajirudia kila nikiwasha data au nikitumia Wi‐fiReset hiyo tatizo litaisha au subiri saa 1 kama walivyo sema hapo chini
Sikuinunua MakumbushoGoogle wakujibu simu uliyonunua Makumbusho?
Polee sanaNimereset vya kutosha lakini tatizo linajirudia kila nikiwasha data au nikitumia Wi‐fi
Mkuu attachment yako haifunguki
Hiyo ni picha yako namba moja.Mkuu attachment yako haifunguki
Hii simu ni ya kampuni kwaiyo hii system wanakuwaga Wana set ukikata kuondoa hakikisha umetoa kabisa firmware mzee weka nyingineWakuu nimepata changamoto katika Google pixel 6 yangu kama ifuatavyo, simu yangu baada ya kuifayia factory reset imeleta hio error. Nimejaribu kuwa contact google kwenye email yao kama nilivyoelekezwa kwenye picha hapo chini lakini nimeshindwa. Hii simu ni simu yangu wakuu na neitumia miezi mitano make nilinunua refurbished shida imekuja baada ya kufactory data reset. Na maana yake nikisema nitatue hili tatizo kwa kudisable Google services sitoweza kutumia playstore, email services almost vitu vyote vya msingi vinavyohusu Google kwenye simu