Nina simu yangu aina ya galaxy s3 nikiiweka tu kwenye chaji lazima ijiwashe na haiwezi kuchaji ikiwa imezima, mwenye kujua jinsi ya kusolve hii case anisaidie.
bla shaka mkuu inaweza kuwa international version maana nliichukua kwa mtu halaf ni tofauti na s3 zingine maana in internal 32GB halaf yenyewe ni s3 LTE version yeny android version 4.4.4
bla shaka mkuu inaweza kuwa international version maana nliichukua kwa mtu halaf ni tofauti na s3 zingine maana in internal 32GB halaf yenyewe ni s3 LTE version yeny android version 4.4.4
asante mkuuu.... japo cjaelewa vizuri kuwa international version inamaanisha nini na vip kuhusu hiyo hali haiwezekan kusolve?
hii lte version ipo had gsmarena