Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,712
- 8,769
Muda mwingine kuwa serious....inasaidia pia!!!Imwagie maji mkuu
Barida damu Yangu ucwaze nirkua nazngua tu mwambaMuda mwingine kuwa serious....inasaidia pia!!!
Wee umefanya kosa geuza hiyo cm juu chini weka chaji alafu leta mrejesho[emoji13] [emoji13] [emoji13]Salaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa chaja za kichina
Pili ninapokua naichaji badala ya % za betri kupanda ndo kwanza zinashuka
Nimejaribu kuformat Simu but naona tatizo linaendelea msaada please namna ya kusolve ili tatizo.
AiseeImwagie maji mkuu
poapoaBarida damu Yangu ucwaze nirkua nazngua tu mwamba
Wewe mkuu hata hufikirii kuwa betri ya hiyo simu mbovu hilo nalo mpaka uje jf kuomba ushauri nunua betri jipya weka ktk simu endelea kuchangia hojaSalaam wanataalum humu
Kama mada inavyojieleza naomba mnipe ufumbuzi wa tatizo la hii Simu yangu
Natumia Viwa A4 hivi majuzi limeanza tatizo kwanza betri ikiisha kabisa haliwezi kuchajika kwa chaja za kichina
Pili ninapokua naichaji badala ya % za betri kupanda ndo kwanza zinashuka
Nimejaribu kuformat Simu but naona tatizo linaendelea msaada please namna ya kusolve ili tatizo.
Anzia hapa!Tafuta chaja Orijino
Mkuu ni kweli tatizo chaja nimeshapata ufumbuzi natumia chaja original so iko poa sasaHapo tatizo ni chaji, badili chaji