Msaada simu imetoa mistari

Ni kweli natumia Sony Experia 5 mark 11 green line iko tayari
Sema naona wachina washa anza kufyatua Vioo feki vyake, yuan 255 naviona kama laki ndio vimetoka, soon tutaanza kuvipata chini ya laki.

Hio simu naikubali sana.
 
Sio mbaya mkuu OP 11 kwa hio bei, japo oneplus camera zake sio top level ila still itazipita midrange zote za hio price point.

Tatizo green Line issue bado ipo kwa hio simu, ila matengenezo yake ni bure sababu oneplus wenyewe wame admit, issue inakuja hutapata wakala wa kutengeneza hapa itabidi upeleke nchi ilionunuliwa kama India, Usa etc.
 
Na vipi kuhusu
Sema naona wachina washa anza kufyatua Vioo feki vyake, yuan 255 naviona kama laki ndio vimetoka, soon tutaanza kuvipata chini ya laki.

Hio simu naikubali sana.

Any suggestions Kwa milioni 1 used phone Kwa hvyo vigezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…