Simu yangu aina ya infinix hot 8 imegoma kutuma SMS kwenye namba yeyote tatizo lilianza mchana nikakorokochoa sana nikafanikiwa kutoa jioni hii tatizo limerudi na kifurushi cha sms ninacho mpaka tarehe 21mwezi huu.
1. Message centre (hii kitu nina uhakika umecheki ila cheki tena)
2. Matatizo ya kimtandao (mfano TTCL na Zantel na Vodacom wakiamuaga hutatuma sms hata usujudu)
3. Restart (jaribu ku restart au reboot)
4. Customer care (jaribu kutafuta simu ya ziada upige huduma kwa wateja ukiwa umeshika simu yako, huwa wanatoa msaada na wao)
1.Message centre (hii kitu nina uhakika umecheki ila cheki tena)
2. Matatizo ya kimtandao (mfano TTCL na Zantel na Vodacom wakiamuaga hutatuma sms hata usujudu)...