Unatumia simu gani?Yaani Internet inasoma fresh msg kwa whatsapp kama kama, ila simu haziingii pia hazitoki, msg za kawaida pia hazitoki haziingii , ktk setting nimeenda kwenye Sim management nikakuta voice calls off, messages off video calls off, data on, sasa sijui niende wapi kuactivate, msaada wapendwa
Chief-Mkwawa
Kuna sehemu ya outgoing call,select mobile carrierUnatumia simu gani?
Mbona unanitisha kasie, BTW namba zao ngapi
Weka ONYaani Internet inasoma fresh msg kwa whatsapp kama kama, ila simu haziingii pia hazitoki, msg za kawaida pia hazitoki haziingii , ktk setting nimeenda kwenye Sim management nikakuta voice calls off, messages off video calls off, data on, sasa sijui niende wapi kuactivate, msaada wapendwa
Chief-Mkwawa