Msaada: Sim card mpya ya Tigo

Fungakazi

Senior Member
Jan 11, 2012
174
128
Mwanzo nilikuwa ninatumia internet ya tigo kwenye simu yangu nokia 3110 bila matatizo ila nikapoteza sim kad hiyo na kununua nyingne, ila hii mpya nikitaka kuingia net inaniambia 'Packet data conection not available' je kila sim card mpya lazma uinstall configuration mpya? Kama ndivyo naomba mnisaidie jinsi ya kufanya kwamaana nmetuma ujumbe wa kwenda 500 kimya, ujumbe wa kwenda 15006 kimya, nimepiga simu wananiambia ombi lako linashughulikiwa lakin hakuna kinachoendelea.
 
tafuta line ya mtu mwingine ambayo haijatumika kuomba settings,weka kwenye simu yako,omba settings,,namba 15006,wakituma save,rudishia line yako.
 
line nyingine zinakubali hata bila setting, nikiweka kwa juu inaonyesha alama ya E au samtym G. But hii mpya nikiweka haionyeshi hizo alama na nikiingia net haitak
 
Mwanzo nilikuwa ninatumia internet ya tigo kwenye simu yangu nokia 3110 bila matatizo ila nikapoteza sim kad hiyo na kununua nyingne, ila hii mpya nikitaka kuingia net inaniambia 'Packet data conection not available' je kila sim card mpya lazma uinstall configuration mpya? Kama ndivyo naomba mnisaidie jinsi ya kufanya kwamaana nmetuma ujumbe wa kwenda 500 kimya, ujumbe wa kwenda 15006 kimya, nimepiga simu wananiambia ombi lako linashughulikiwa lakin hakuna kinachoendelea.

ingia hapa utasaidia na CC ya tigo via FB www.facebook.com/tigotanzania
 
wew weka person config thn pocket data set when available..sio lain ya tgo hapo cm yko tu.
 
Back
Top Bottom