Msaada: Sijawahi kupenda kutoka moyoni

Msaada: Sijawahi kupenda kutoka moyoni

Miss chagga unene wa pochi yako tu, hanaga hiyana huyu na mautundu ya yale mambo yetu anayajua sana.

Ongea na miss chagga yuko single, kikubwa uwe na hela, utapendwa kama malaika, atakubadili fikra zako na kuwa kama watu wengine.
 
Habari zenu waungwana,

Mimi ni mvulana kuna kitu kinanisumbua kuhusu upendo hususani katika mapenzi. Sikuwahi kumpenda mtu kwa dhati kutoka moyoni nimewahi kuwa katika uhusiano na wasichana kama watatu kwa nyakati tofauti lakini hakuna hata mmoja nilimpenda, japo najilazimisha na sijawahi kumpenda mtu bali ni kumtamani tu na nikimpata nikimaliza haja zangu natembea.

Ilifika wakati hata niliyewahi kuwa nae niliwahi kusoma meseji zake akichat na jamaa mwingine lakini sijaumia zaidi ya kuchukilia kawaida tu hata nikimsikia akiongea nae huwa nilikua namwambia endelea kuongea nae tu, aliwahi kuomba msamaha lakini nilijikuta sijali pia alishawahi kuniuliza HUJISIKII VIBAYA NIKIONGEA NA MWINGINE (huku akilia) nilimjibu "ndio".

Wao ndio walikuwa wananitafuta lakini mi sina mpango nao japo nilijilazimisha lakini hola. Nimewahi kuwa mwanachama wa CHAPUTA ila nilipoteza kadi (niliacha) pia napenda sana kuwa pekee bila kuwa na mtu na nafurahia mahusiano ya watu wengine japo inanitesa hii hali, naombeni msaada nini nifanye.

AHSANTENI
Mkuu , mimi nina fight niwe na attitude kama yako.

Binafsi naona ni nzuri kuwa hivyo ulivyo, ukishajipenda mwenyewe inatosha zaidi ya hapo unajiletea stress tu
 
Mkuu hujakutana na wanawake mafundi utajikuta unapenda hata akiongea na kaka yake unajisikia wivu, Endelea kuzunguka utakutana na mafundi hutorudia kauli hizo
 
Mimi ndo najijua Mkuu na nikifanya nae nikimaliza hata kumuona nakuwa sitaki (namchukia mazima) na hali hiyo haibadiliki
 
Habari zenu waungwana,

Mimi ni mvulana kuna kitu kinanisumbua kuhusu upendo hususani katika mapenzi. Sikuwahi kumpenda mtu kwa dhati kutoka moyoni nimewahi kuwa katika uhusiano na wasichana kama watatu kwa nyakati tofauti lakini hakuna hata mmoja nilimpenda, japo najilazimisha na sijawahi kumpenda mtu bali ni kumtamani tu na nikimpata nikimaliza haja zangu natembea.

Ilifika wakati hata niliyewahi kuwa nae niliwahi kusoma meseji zake akichat na jamaa mwingine lakini sijaumia zaidi ya kuchukilia kawaida tu hata nikimsikia akiongea nae huwa nilikua namwambia endelea kuongea nae tu, aliwahi kuomba msamaha lakini nilijikuta sijali pia alishawahi kuniuliza HUJISIKII VIBAYA NIKIONGEA NA MWINGINE (huku akilia) nilimjibu "ndio".

Wao ndio walikuwa wananitafuta lakini mi sina mpango nao japo nilijilazimisha lakini hola. Nimewahi kuwa mwanachama wa CHAPUTA ila nilipoteza kadi (niliacha) pia napenda sana kuwa pekee bila kuwa na mtu na nafurahia mahusiano ya watu wengine japo inanitesa hii hali, naombeni msaada nini nifanye.

AHSANTENI
Poleee
 
Dah i wish ningekua kama wew,...nipige ganzi moyo manake aya mambo yaliopo siku izi unaweza omba po ata kuishi,...mkuu hongera
 
bora kungoja wakati moyo wako utataka kupenda..haya mambo magumu bwana mdogo..tulia kwa sasa usiwe na pupa..wakti ukipenda utaelewa ugumu wa mapenzi ila kwa sasa we tulia
 
Mh huwa nafikiria zaidi muda wa kuoa ukifika?
 
Habari zenu waungwana,

Nimewahi kuwa mwanachama wa CHAPUTA ila nilipoteza kadi (niliacha).

AHSANTENI

hilo ndio kosa kubwa ulilolifanya mkuu.

na kwa kawaida mvulana mmoja anatakiwa amiliki mizigo saba, so kwahilo lako la hit n run upo sahihi kabisa mkuu
 
Sasa kwa hili tunaweza kuishi na wake/waume?
Yeah, ukipata mvumilivu.
Nashukuru kwa vile ni mwanamke sina maamuzi ya mwisho kwenye ndoa ila kumwambia mume wangu siku akichoka kuishi na mie aseme nimwache huru naona simple tu, anaumia lakini kwa vile kesha jua tatizo langu sina full commitment na bado ananipenda ananiona kama sijitambui huenda haaaa.
kwa wewe ambaye ni mwanaume mkuu na unatarajiwa kufanya maamuzi ya mwisho kwenye ndoa yako zidisha maombi Mungu akupe subra brother vinginevyo ni shidaa.
 
Ye

Yeah, ukipata mvumilivu. Nashukuru kwa vile ni mwanamke sina maamuzi ya mwisho kwenye ndoa ila kumwambia mume wangu siku akichoka kuishi na mie aseme nimwache huru naona simple tu, anaumia lakini kwa vile kesha jua tatizo langu sina full commitment na bado ananipenda ananiona kama sijitambui huenda haaaa.
kwa wewe ni mwanaume mkuu utayefanya maamuzi ya mwisho kwenye ndoa zidisha maombi Mungu akupe subra brother vinginevyo ni shidaa.
Mh labda nijaribu lakini sina hisia kabisaaaaaaa... maana kumpotezea mtu kwangu kama kuchana karatasi tu
 
Haaaa kwa sasa achana na hayo mambo kwanza kuwa busy na kutafuta pesa then muda utafika wenyewe. Wekeza akili yako kwenye kujenga maisha yako mambo mengine yapo tu.
Kutafuta mpenzi mi nafananisha kama kununua Viatu mkuu siku ukiweka ratiba rasmi ya kwenda kununua viatu yamkini usipati saize yako lakini siku huna ratiba na kununua viatu utakutana navyo vingi na unanunua, so usijipe wakati mgumu bure muda utafika kila kitu kitakuwa sawa. Haleluya...
 
Pia ni wazo zuri japo natamani
 
hilo ndio kosa kubwa ulilolifanya mkuu.

na kwa kawaida mvulana mmoja anatakiwa amiliki mizigo saba, so kwahilo lako la hit n run upo sahihi kabisa mkuu
Upotoshaji uliokithiri ..hivi angekua ni mdogo wako amekuomba ushauri ungemjibu hivi..na maradhi yaliyopo saiz unamshauri mwenzio hivyoo siyo busara
kumbuka hapa jukwaani wanapita watu wa kila rika wadogo wanajifunza nini kupitia comments kama hizi[emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom