Msaada shule nzuri ya msingi ya umma maeneo ya Mbezi

Msaada shule nzuri ya msingi ya umma maeneo ya Mbezi

SyntaxReaper

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2017
Posts
364
Reaction score
294
Habarini wadau,

Nina mpango wa kuhamisha makazi kuelekea maeneo ya Mbezi Luis. Nina mtoto wa darasa la pili nataka nimuhamishie shule za maeneo ya karibu na hayo, ukanda wa Mbezi Mwisho, Goba au hata Madale. Hivyo naomba ushauri wa mawazo kwa wazazi na walezi wenzangu, shule ipi ya umma ambayo ni bora kwa uzoefu wenu.

Ahsanteni.
 
Ubora wa shule unabebwa na factor nyingi ikiwemo malezi ya nyumbani toka kwa wazazi, so naamini kwa dhani kabisa unakohamia si porini na kwamba utakuta wenyeji wenye watoto pia so muhimu tafuta ambayo miundombinu yake ni rafiki kwa mwanao ila suala la ubora limekaa kibiashara zaidi!
 
Back
Top Bottom