Wakuu naulizia wapi nitapata proffessional short course ya kurekodi video na kupiga picha kitaalamu Kwa kutumia digital camera au video shooting camera, natafuta ujuzi wa hvi vitu hasa Kwa mambo yatuatayo
View attachment 1216965
Nikipata Kwa Mwanza itakuwa njema zaidi ahsante