Msaada:Shooting game kwenye Simu

Msaada:Shooting game kwenye Simu

SCOAN

Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
40
Reaction score
14
Kuna shooting game niliipenda sana zamani : inaitwa PROJECT OF IGI. Ilikua kwenye PC yangu.


Je ni download shooting game gani ambayo ni sawa na hiyo?
 
zipo shooting game nyingi sana za simu ila sio nzuri kama za pc sijui tatizo ni nini.

mi nimecheza moja inaitwa d day frontline comando hii ni series imetengenezwa na glu. uzuri wake ni bure haya magame na pia hayana mb nyingi sana around mb300 kwa kila game.

kuna mengine kama modern combat, brother in arms na nova yote ni shooting games. ni mazuri ila yana bei sana around dola 7.

kuna jengine linaitwa six guns design ya ki cowboy nalo zuri sema linahitaji simu nzuri sana.
 
Nimeona six guns...ina MB829



Sent From Samsung Galaxy Note N7000 GT
 
Back
Top Bottom