Pole SanaWakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo,ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
nimekunywa miti shamba mbalimbali,nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama
Karibuni wapendwa🙏🏿
Nenda Kairuki hospital onana na daktari wa njia ya mkojo yule jamaa ni master sana naamini utakuwa vizuriWakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo,ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
nimekunywa miti shamba mbalimbali,nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama
Karibuni wapendwa🙏🏿
Kunywa chai isiyo na sukari u stimulate kukojoa mara Kwa mara!Wakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo,ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
nimekunywa miti shamba mbalimbali,nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama
Karibuni wapendwa🙏🏿
Pole mkuu,ila kukojoa mara 3 kwasiku mbona kawaida sana,mimi nakojoa mara 20Uwa ninakojoa mara nyingi sana na kwa usiku Kama mara Tatu hivi
Unaweza kuwa ndugu yangu pia maana dr igenge ni baba mdogo wangu bwanaPole sana! Unasema Urologist na ndugu yangu sana Dr Igenge hapo Bugando amekushindwa...! Huku kwetu kwenye herbal napo unasema umeshakunywa mpaka umetosha! Katika tiba huwa hatuchoki,katika kupambana kutafuta tiba kila mahali,ndipo unaweza kupata uponyaji.Achana kabisa na kukata tamaa juu ya afya yako.Mpaka sasa watu wako Appolo wanapambania afya.
Daaaah nashukuru sana kwa maneno yako ya kishujaaPole sana! Unasema Urologist na ndugu yangu sana Dr Igenge hapo Bugando amekushindwa...! Huku kwetu kwenye herbal napo unasema umeshakunywa mpaka umetosha! Katika tiba huwa hatuchoki,katika kupambana kutafuta tiba kila mahali,ndipo unaweza kupata uponyaji.Achana kabisa na kukata tamaa juu ya afya yako.Mpaka sasa watu wako Appolo wanapambania afya.
nimeweka majibu ya vipimo hapo👇🏾👇🏾Kwamba bugando wameshindwa? Kwanza achana na mitishamba pili unaweza ficha identity yako ukaweka vipimo ulivyofanya na matokeo yake ili usaidike vizuri.
Unatumia bima? Kuna baadhi ya wagonjwa wanashindwa kupata matibabu sahihi kulingana na kutomudu gharama za matibabu kwa maana ya vipimo na dawa.
Kama kuna hoja imejibiwa huko utanisamehe, nimesoma post #1 tu.
Zaidi ni kuwa kichocho kinatibika kwa dawa tu.
Ooh sisi sote ni Ndugu.Kumbe na wewe ni wa utemi wa NASA...!Unaweza kuwa ndugu yangu pia maana dr igenge ni baba mdogo wangu bwana
Tezi dume kwa umri huu Mkuu……25 naweza pata tezidume kweli!?Umejaribu kupima tezidume mkuu? Jaribu kutafuta hospital nyingine unaweza kukutana na dactari anayeweza kutatua tatizo lako
Ndio hata watoto inawezs kutokea akapata ila Ni nadra ,, kacheki maana kwa either dalili aliyoitaja Kuna kitu kinazuia mkojo kuflow vizuriTezi dume kwa umri huu Mkuu……25 naweza pata tezidume kweli!?
Hata mimi namshauri akapime tezi dume,asiogope kupima siku hizi hawatumii kile kipimo cha zamani...Ndio hata watoto inawezs kutokea akapata ila Ni nadra ,, kacheki maana kwa either dalili aliyoitaja Kuna kitu kinazuia mkojo kuflow vizuri
Kipimo cha zamani kile kilileta ukakasi sqna kwa wana jamiiHata mimi namshauri akapime tezi dume,asiogope kupima siku hizi hawatumii kile kipimo cha zamani...
Ooh sisi sote ni Ndugu.Kumbe na wewe ni wa utemi wa NASA...!
Duuh basi hakuna shida nitakwenda kupimaNdio hata watoto inawezs kutokea akapata ila Ni nadra ,, kacheki maana kwa either dalili aliyoitaja Kuna kitu kinazuia mkojo kuflow vizuri
Kunywa maji ya moto, kutwa lita tatu kwa uchache, ndani ya wiki moja utaona mabadiliko.Wakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo,ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
nimekunywa miti shamba mbalimbali,nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama
Karibuni wapendwa🙏🏿
Ni pm nitakusaidiaWakuu Habarini/asalaam/Shalom

Umemaliza...Ndio hata watoto inawezs kutokea akapata ila Ni nadra ,, kacheki maana kwa either dalili aliyoitaja Kuna kitu kinazuia mkojo kuflow vizuri