Msaada Sehemu ya Experience - CV

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
180
Habari JF

Nilikuwa nikifanya kazi na mradi mmoja malaria ila umeisha mwaka huu mwezi January 2014. Nisaidie kwenye CV KIPENGERE CHA EXPERIENCE

Procurement Officer - yyyyyyyyyyy January 2009 - January 2014 [ End of Funded Project] February 2014 - xxxxxxxx

Hapo kwenye xxxxx ndo utata, nisaidieni mawazo, nipo kwenye mchakato wa kutafuta kazi tena, nilijaribu kuanzisha kimradi nikamuajiri kijana akaniibia na kukimbia..sitamani kuanzisha mradi ambao atasimamia mtu labda mimi mwenyewe.
 
Ok kaka...ikitokea wameuliza si nitaonekana muongo...nimedanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…