tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Habari zenu wanajamii forum?
Nimejikuta na hamasa ya kufanya biashara ya vinyago lakini nisingependa kuvinunulia pale mwenge ningependa kuvifuata huko vinapochongwa.kwa yeyote anayefahamu sehemu wanazochonga hivyo vinyago popote tanzania naomba anijuze tafadhali.