Msaada sehemu nitakayopata hii remote ya TV

Msaada sehemu nitakayopata hii remote ya TV

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
473
Reaction score
297
Habari zenu ndugu wanajukwaa,ninatumia Smart TV aina ya Toshiba fire TV edition inayo run OS ya Amazon changamoto ni kuwa nimepoteza remote yake nimetafuta bila mafanikio.naomba kwa yeyote anaeweza kunielekeza sehemu ambayo nitapata nitashukuru sana.
IMG_1395.jpg

[mention]Kilangi masanja [/mention]Chief-Mkwawa
 
Aisee mcheki huyu 0777854596 ukizikosa tu, pitia kwenye maduka ya TV pengine unaweza ukapata
 
Habari zenu ndugu wanajukwaa,ninatumia Smart TV aina ya Toshiba fire TV edition inayo run OS ya Amazon changamoto ni kuwa nimepoteza remote yake nimetafuta bila mafanikio.naomba kwa yeyote anaeweza kunielekeza sehemu ambayo nitapata nitashukuru sana.View attachment 2452395
[mention]Kilangi masanja [/mention]Chief-Mkwawa
Tumia app ya Fire tv mkuu, assume tv tayari kuna wifi umeiconnect nayo.

Download app kwenye simu ambayo ipo same network na tv.

Otherwise bei za remote zimechangamka, mara mia ununue fire stick used uchomoe remote
 
App ya fire TV ninayo kwenye simu changamoto yake ni mpaka TV na simu vyote uvi connect na internet..nikitafuta remote ya Fire stick itafanya kazi zote kweli?
 
App ya fire TV ninayo kwenye simu changamoto yake ni mpaka TV na simu vyote uvi connect na internet..nikitafuta remote ya Fire stick itafanya kazi zote kweli?
Nimecheki online wanashauri uchukue remote ya insignia Fire tv, hizi zinafaya kazi kama Fire tv/Toshiba fire tv sema sababu ni ya tv options ni nyingi zaidi.

Za infrared bei si mbaya, zenye bluetooth imechangamka bei kidogo.

Cheki hii

Na fire stick sina uhakika 100% ila sioni sababu kwanini isifanye ni same system kwako tu ipo built in.
 
Pia mkuu kuongezea kuna kitu kinaitwa HDMI CEC hii inakuwezesha kucontroll vifaa vyako kupitia HDMI kama vyote viwili vina hio feature,

Kwa case yangu nilikuwa natumia firestick kupitia remote ya TV ya Samsung,

So jaribu kuweka on vifaa vyako kama vina hio feature unaweza kutumia remote ya deki, Sabufa etc kwenye hio Toshiba incase kuna compability.
 
Shukran sana,ngoja ni google nione jinsi inavyotumika hyo njia.
 
Back
Top Bottom