Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,719
- 13,575
Yaani ukiwepo jamaa ataweka historia ya three-some labda na mimi nije kama baunsa wenuweeeee thubutuuuu.... labda na mie niwepo yule mtu haaminiki kabisaaa.... hahaha
Yaani ukiwepo jamaa ataweka historia ya three-some labda na mimi nije kama baunsa wenuweeeee thubutuuuu.... labda na mie niwepo yule mtu haaminiki kabisaaa.... hahaha
Yaani ukiwepo jamaa ataweka historia ya three-some labda na mimi nije kama baunsa wenu
Mmepata!!
Aiseeee tunaomba ulinzi wako kwa heshima na taadhima.
MLETE HOME KWANGU. Ukimleta huku hamna shida mimi naweza ogelea hata akijaa yeye...
but kwa ufupi mlete home kwangu aje aenjoy life siku hiyo nakuhakikishia hakika hatoisahau hiyo siku na atataka kila siku iwe birthday yake ili umlete kwangu. mlete aje aenjoy kwangu.
Hahahahahahahahaha alizaliwa hospital sasa hivi anataka abadili kiwanja iwe nyumbani....Sasa kama anataka kuzaliwa si umpeleke hospitali au unataka azaliwe nyumbani??
Anewei, hili swala watafute idara ya wanyamapori watakupa sehemu mbalimbali za kuchagua. Hawa jamaa hawakosi mahali wana mapori ya akiba mengi sana.
kwi kwi kwi kwinjoo geto kwangu wew culture gal nikufunze culture ya kiafrika
Ni maadhimisho kama tunavyoadhimisha na kusheherekea uhuru day na vingine kama hivyo.Hivi siku ya kuzaliwa mnasherekea au mnafurahia nini???!
Basi mi bado analog japo one day workmate alinisuprise na hapbirthday to you staff nzima wakaniimbia nikatabasamu kinafiki lakini sikujua kwa nin wanafirahia ii sikuNi maadhimisho kama tunavyoadhimisha na kusheherekea uhuru day na vingine kama hivyo.
Ukafurahi kinafki!!! hakika upo zama za mawe za mwanzo sio analogy..... lolBasi mi bado analog japo one day workmate alinisuprise na hapbirthday to you staff nzima wakaniimbia nikatabasamu kinafiki lakini sikujua kwa nin wanafirahia ii siku
Sent from my HUAWEI Y600-U40 using JamiiForums mobile app
Merry Christmas, i hope siku yako ilikua na furahahahahahahah sikuwahi kujua kama MIXOLOGIST ni mwehu namna hii yaan nimejikuta nacheka kwa kugugumia had machozi dah !aisee
Merry Christmas, i hope siku yako ilikua na furaha