Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,447
- 21,147
- Thread starter
- #121
Na mimi langu nimelifuta tayariiii.Langu nimelifuta limebaki lako
Na mimi langu nimelifuta tayariiii.Langu nimelifuta limebaki lako
Pole kiongozi wangu nami nilikuwa nimeelewa vibaya nilipoliona jina lako linaishia na gal...extremely sorry brotherHahahaha my bad!! ila shukran kwa kunielewa
lakini pia ulitafsiri vibaya, huyo rafiki yangu ni Ke na huyo mkuu ni Me ndio maana akanitania nimpeleke kwake akafurahie.
ha ha ha ha nimecheka utafikiri tuko hapa pamoja tunaongeaNa mimi langu nimelifuta tayariiii.
Pole kiongozi wangu nami nilikuwa nimeelewa vibaya nilipoliona jina lako linaishia na gal...extremely sorry brother
Daaa mkuu isikilizie nafsi yako zaidi... ila nakushauri mtukuze Mungu zaid hata kama umepinda, mm sidhan kama kuna mtu atakae jua ni mtu wa dini haki ya Mungu nilivo yanNimependa style yako ya usherehekeaji, hata me hua sina makuu, zaidi nitamshukuru Mungu, nitajipost na kushukuru wote walioni wish tayari siku imeisha....
Nadhani sote tungekua hivi masherehe ya kila wiki yangepungua mjini.... lol
Yaani me ndio unazidi kunivunja mbavu hukuuuu.ha ha ha ha nimecheka utafikiri tuko hapa pamoja tunaongea
Ha ha ha ha ha aiss leo nimeingia choo cha tofauti unajua sisi wapigaji tunajua ukishasema rafiki basi akili inakimbilia chini ...nilijua mmoja wa kike mwingine wa kiume
Jamaniii sasa nani kasema me mwanaume mbona leo mkesha umekua moto hiviiii.
soma tena post yangu hahahaha.
Jamani hadi nikasema kabisa "bestfriend" hahahaha sema ukweli leo umeingia cha kike tu....Ha ha ha ha ha aiss leo nimeingia choo cha tofauti unajua sisi wapigaji tunajua ukishasema rafiki basi akili inakimbilia chini ...nilijua mmoja wa kike mwingine wa kiume
Wapi pazuriiiiSweming kutamfaa sithee
Mpeleke hospitali chumba wanachojifungulia(Kama alizaliwa hospital I),kisha mueleze kua asikae na kufurahia tu siku yake ya kuzaliwa bali atambue mwaka flani siku kama hiyo mama yake alikua kwenye chumba kama hicho akimleta dunianiHello ladies and gents,
Rejea kichwa cha habari,
Nina rafiki yangu kipenzi a.k.a bestfriend siku yake ya kuzaliwa itakua tarehe 30/12, nawaza nini nimfanyie au wapi nimpeleke kwenye siku yake hiyo special.
Karibuni.
Hahaha sasa kwa mwanamke hilo suala anahitaji kukumbushwa kweli?? na yeye si atabeba mimba na hicho chumba ataingia.... lolMpeleke hospitali chumba wanachojifungulia(Kama alizaliwa hospital I),kisha asikae na kufurahia tu siku yake ya kuzaliwa bali atambue mwaka flani siku kama hiyo mama yake alikua kwenye chumba kama hicho akimleta duniani
Nenda hotel Kubwa zenye swiming pool mnakuwa na wain kdg mambo yanakuwa fureshiWapi pazuriiii
Sweming ndo wapiWapi pazuriiii
Safiiii..... good idea.Nenda hotel Kubwa zenye swiming pool mnakuwa na wain kdg mambo yanakuwa fureshi
alimaanisha Swimming.... lolSweming ndo wapi
Mkuu nimesema atambue,Hahaha sasa kwa mwanamke hilo suala anahitaji kukumbushwa kweli?? na yeye si atabeba mimba na hicho chumba ataingia.... lol
kwanza ile wodi haingii mtu kama sio muhusika nikimaanisha dokta, nesi na mzazi mwenyewe ndio wanaruhusiwa.... ahsante kwa ushauri tho.Mkuu nimesema atambue,