harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Jamaa ameshaharibu lcd hyo. Ile panel yenyew yenye winoHabari za mida wakuu
Tv yangu ilizima ghafla ikawa haionyeshi chochote nikamplekea fundi kaniambia balb zimeungua, nikanunua mpya zikawekwa, kweli tv ikawaka lakini ndio ivyo ikawa inajichoramistari kama iv. View attachment 1528742View attachment 1528743
Duh! Kwa hyo mkuu nasaidikaje au ndio basi tenaJamaa ameshaharibu lcd hyo. Ile panel yenyew yenye wino
Home base mkuuPole TV hiyo ni ya Kampuni gani!
Hapo ni kioo kingine tu. Au kamkomalie fundi mwambie kawaharibu kioo chako. Sema ndo hvo mafundi wa bongo ni shida kidogoDuh! Kwa hyo mkuu nasaidikaje au ndio basi tena
Dah! Mkuu unawajua mafundi wa bongo walivyo ata nikisema nimlipishe ni kujipotezea mda tu.Hapo ni kioo kingine tu. Au kamkomalie fundi mwambie kawaharibu kioo chako. Sema ndo hvo mafundi wa bongo ni shida kidogo
Hapo ni kununua tu kioo kingine kipya,na bei yake haitifautiani sana tv mpya,kwaiyo kazi kwako hapoDuh! Kwa hyo mkuu nasaidikaje au ndio basi tena