msaada samsung y duos

msaada samsung y duos

six center

New Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2
Reaction score
0
naomba kufahamu wapi nitazipata simu za samsung y duos na kwa bei gani
Natanguliza shukrani
 
Mkuu Danali pale Mlimani city unapata simu genuine na warrant unajua bidhaa zimejaa tatizo unaweza pata feki.
 
Mkuu Danali pale Mlimani city unapata simu genuine na warrant unajua bidhaa zimejaa tatizo unaweza pata feki.

sawa mkuu mana mimi sio mzoefu sana wa bei za iyo kitu bt hua naonaga vibango vya samsung i think maeneo ya hidary plaza pale posta vimeandikwaga ni 190,000 au ni za promosheni zile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom