MSAADA SAMSUNG S6 KUSHINDWA KUA APTDATE

pascasius kaiser

New Member
May 22, 2018
3
20
samahnn samsung yangu s6 inashindwa kuampdate kutkoka vesion moja kwenda nyingine jambo ambalo linaifanya iwe very slow na ukienda setting kwenye software update inashindwa kufungua kuleta ile menyu ya ku apdate .
 
Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
8,319
2,000
😂😂😂Rudisha simu ya watu au mpe mtu akuandikie vyema, mods futa huu uzi
 
Tish

JF-Expert Member
Aug 15, 2014
331
250
samahnn samsung yangu s6 inashindwa kuampdate kutkoka vesion moja kwenda nyingine jambo ambalo linaifanya iwe very slow na ukienda setting kwenye software update inashindwa kufungua kuleta ile menyu ya ku apdate .
Kama update ipo kuna option ya ku update kupitia wi-fi only au mobile data chagua mobile data anzia hapo kwanza ila uwe na bando atlest 2gb.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom