msaada samsung s3 min clone

chotarasukari

Senior Member
Jan 6, 2013
110
23
habari za majukumu.
kuna mtu kanipa s3 min clone ila tatizo nikiweka sim card inaleta ujumbe Restricted access changed na haiwezi kupiga wala kuangalia balance pia inagoma internet ila sometimes ina kubali internet nikijaribu kuingia playstore. Nimejaribu kufanya restore ila tatizo bado lipo palepale. naomba kuwasilisha. Asante
 
Back
Top Bottom