marinemzee
Senior Member
- Jul 22, 2015
- 113
- 69
Wakubwa naomba msaada simu yangu imeingia maji,hii ni mara ya pili mara ya kwanza iliingia maji ya bahari nikaiweka kwenye mchele usiku kucha asubuhi ikawaka safi. Sasa jana tena imeingia maji ya kawaida nimeweka kwenye mchele lakini kumekucha nimejaribu kuiwasha imekataa kuwaka,naomba msaada nifanyaje!
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app