Kwetu Iringa
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 355
- 89
WanaJF, nimenunua leo simu hii kwa machinga, brand new. Tatizo hakuwa na Manual. Alikuwa na charger na earphones tu. Sijawahi kutumia smartphones before. Nimeshindwa kupata Manual yake kwenye web.
Tafadhali mwenye msaada anipe soft copy ya hii manual.
Natanguliza ahsante.
Tafadhali mwenye msaada anipe soft copy ya hii manual.
Natanguliza ahsante.