zima simu yako, toa line na memory card, baada ya hapo wewe iwashe simu yako ukiwa umeshika button ya volume up (yaani unashika button zote mbili kwa wakati mmoja Power+Volume up).
Baada ya hapo zitakuja options kibao ila nenda kwenye factory reset, scroll down kwa kutumia volume down button hadi kwenye factory reset, fanya selection kwa kutumia power button ya simu yako. nenda hadi kwenye wipe data/factory reset, baada ya hapo simu yako itajireboot then utafanya set up zako upya. ila kama kunasehemu nitakuwa nimekosea basi wadau wengine watajazia mapengo. all the best
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.