msaada samsung grand prime

msaada samsung grand prime

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Posts
3,400
Reaction score
2,572
nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card
 
Nenda setting afu shuka mpak about phone screenshot utume hapa chapu tuone
 
nina samsung nimeinunua china..kule ilikuwa ikifanya poa kabisa ila baada ya kufika hapa nchini nimeweka line zetu haisomi inasema insert sim card
Iscreenshot model ya simu kweny about phone utume hapa tuone
 
Aaaah mi nilikuwa naichaji asubuhi nikaikuta imejiweka safe mode, yaani hamna app ya kudownload inafanya kazi, nimejaribu kila njia hadi nikaiflash ndo ikakaa sawa na siku hiyo hiyo nikauza
 
Back
Top Bottom