Msaada samsung gallaxy gt 6800

Msaada samsung gallaxy gt 6800

Micro E coli

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
938
Reaction score
192
Salam wakuu nina samsung tab model GT P 6800 imevunjika kioo lakini inadisplay vizuri nataka kubadilisha hicho kioo niwapi naweza pata kioo kipya na nani bei gani na wapi kunafundi mzuri wakubadilisha wengi nimewapelekea wameshindwa ni mafundi njaa.Natanguliza shukrani zenu wakuu.
 
Nenda Kariakoo kule kunakouzwa vifaa vya simu kwa wingi, Jina la mtaa limenitoka huko huduma zako zote utapata.

Ila wastani isipungue laki.
 
Nenda Kariakoo kule kunakouzwa vifaa vya simu kwa wingi, Jina la mtaa limenitoka huko huduma zako zote utapata.

Ila wastani isipungue laki.

mtaa ni aggrey, ila nina wasiwasi touch ndio imevunjika kwa maana anasema kioo kinaonyesha vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom