Nimenunua na kutumia kwa wiki moja na nusu tu. sasa hai detect simcard yoyote, vile vile ukijaribu IMEI inatoa null/null ni kama haina IMEI namba. tafadhali kwa anaejua tatizo.
Mkuu umenunua wapi? Wiki moja tu kama ni org inawarrant ya mwaka 1 uhitaji kuapaniki nenda uliponunulia tatizo lako litakwisha ebu bonyeza *1234# niambie imetokea nn?