Mimi na jamaa yangu wa karibu tumenunua simu za aina ya Samsung Galaxy S III na Galaxy S Duos. Galaxy SIII imewekwa chip ya Vodacom na Du
os chip ya Tigo.
Wadau ninaomba namna ya ku-configure ili tuweze kupata huduma ya Internet kupitia simu hizi. Ahsanteni.
os chip ya Tigo.
Wadau ninaomba namna ya ku-configure ili tuweze kupata huduma ya Internet kupitia simu hizi. Ahsanteni.