Msaada Samsung galaxy ||| mtandao hauoneshi

iphoneX

Senior Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
193
Reaction score
174
wadau kwema!? namba za imei zimeblock hvyo hazioneshi mtandao na ukiweka laini inasema "No network display" Msaada juu ya tuta tafadhali.
IMG-20180407-WA0000.jpg
IMG-20180407-WA0005.jpg
IMG-20180407-WA0001.jpg
IMG-20180407-WA0002.jpg
IMG-20180407-WA0004.jpg
IMG-20180407-WA0004.jpg

S/N.R33D30ZB6TT:
IMEI:356562050255990
 
tuwasiliane nikupe sIII iliyokufa kioo
 
I'd iPhone x halafu unatumia s3....
 
Hyo simu ni obsolete.tafuta simu nyengine hyo maisha yake ya hapa duniani yameshakwisha ndo mana inasumbua.samsung S ya kutumia hivi sasa walau kuanzia S5 lakini chini ya hapo ni kichomi.
 
we ni kichaa kqel mi na s111 toka 2015 na bdo ipo on fire mbayaaa kitu matunzo tu
 
Hyo simu ni obsolete.tafuta simu nyengine hyo maisha yake ya hapa duniani yameshakwisha ndo mana inasumbua.samsung S ya kutumia hivi sasa walau kuanzia S5 lakini chini ya hapo ni kichomi.
Mimi mbona natumi s4 mbona sio kichomi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom