Msaada samsung galaxy min gt s5570

Shixi889

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
338
208
Msaada katika hili napodownload applications tofauti kutoka play store zinakubali vizuri tu lakini baada ya muda tu zinagoma kufunguka nn tatizo na ninapo douwnload nyimbo pia zinaplay vizuri tu lakini baade napewa sms ya filenot supported nn tatizo hapa?????
 
Back
Top Bottom