Msaada: Samsung Galaxy Grand Prime+ .

richnigga

Member
Dec 25, 2014
82
53
Wadau nina kuna tatizo kwenye hii simu yangu.. simu tajwa hapo juu nikiicharge inajaa mpaka 70% tuu... kuanzia hapo haiendelei hatakama ukaicharge siku nzima... haifikishi 100% battery.
Sijui kama tatizo ni battery yenyewe au ni nini...

Naombeni msaada wa utatuzi wa hii changamoto wadau.
 
Back
Top Bottom