msaada:samsung chat222 aka GT-e222 inataka password

msaada:samsung chat222 aka GT-e222 inataka password

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
wakuu hiyo simu leo niliizima kuiwasha tu inanida password hali ya kuwa mimi sijaweka.Naombeni msaada wenu wa
kui unlock.
please
 
Mrudishie mwenye nayo...... Isije kuku umbua
 
Tumia hii 0000 ikigoma iformat simu kwa kutumia mojawapo ya codes zifuatazo:
*2767*3855# au *2767*2878#. Kisha ingiza 0000 kuifungua.
 
$(KGrHqRHJFUFHLY-!01-BR3WKF!UB!~~60_12.JPGtatizo * haibonyezeki hapo ndipo nilipochemka msaada zaidi
 
mkuu nimeshindwa kwenye hii (*) haibonyezeki ukibonyeza hakuna kitu.Yaani ni namba tu ndo zinazokubali
Tumia hii 0000 ikigoma iformat simu kwa kutumia mojawapo ya codes zifuatazo:
*2767*3855# au *2767*2878#. Kisha ingiza 0000 kuifungua.
 
Back
Top Bottom