Msaada samsung chat gt-e2222 master reset

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,106
Reaction score
357
Nina Samsung ch@t222 GT-E2222, nimefanya master reset leo baada ya kuzima haijawaka tena, ina switch ON na OFF muda wote hadi utoe battery. Msaada nitawezaje kuiwasha tena. cc Chief-Mkwawa
 
Nina Samsung ch@t222 GT-E2222, nimefanya master reset leo baada ya kuzima haijawaka tena, ina switch ON na OFF muda wote hadi utoe battery. Msaada nitawezaje kuiwasha tena. cc Chief-Mkwawa


Ilikuwa na tatizo gani lilofanya hadi ufanye master reset?
 
Jaribu kutumia kies japo sina uhakika kama inakubali simu yako. Kies unadownload kwenye pc, install upya software ya simu.
 
Hii simu chat222 niliwahi kuwa nayo. Na navyokumbuka samsung kies iligoma ku update, nilijaribu baadae nikagundua kies haisaupport, kuna vi software nilivi google ingawa sikuendelea na mpango wangu
 
Hii simu chat222 niliwahi kuwa nayo. Na navyokumbuka samsung kies iligoma ku update, nilijaribu baadae nikagundua kies haisaupport, kuna vi software nilivi google ingawa sikuendelea na mpango wangu
Nilisahau password ya folder na pia ilikua inanisumbua kufungua playlist ya nyimbo zangu.
 
samsung chat ni sheeder....
hiyo si ndo haifungui hata utube?,yaani haisupport
 
samsung chat ni sheeder....
hiyo si ndo haifungui hata utube?,yaani haisupport

Kweli kabisa mkuu Elungata.
Mimi mwenyewe nilivyoina dukani nikajua hapa niku-stream mpaka basi,kumbe nimenunua majanga tu,hamna cha youtube wala whatsapp.
Yaani nilijuta kuzaliwa kisa simu.
Kuna simu nyingine zinaudhi aisee.Kama una roho nyepesi unaweza kuvunjavunja simu ujue!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…