Ellon
Member
- Jan 7, 2021
- 80
- 125
Habari
Nina Simu aina ya Sumsung J2 iliokotwa week iliyopita, nimeweka laini ikawa inafanya kazi vizuri kilakitu leo asubui kuifanya imeandika EMERGENCE CALL maana yake haisomi mnara...kingine hii simu Icon ya mnara ipo hata kama ujaweka Laini so inaandika Emergence Call kwa uuwelewa wangu mnara hausomi sijui lakini ila pale juu ICON ya Mnara ipo.
Natumia Halotel nikijaribu kufanya Setting kwenda kwenye NETWORK OPERATOR halotel siioni kuna Tigo, Zain Tz na Voda nimejaribu kutoa Laini kuweka Tigo nikienda kwenye Network Operator inakataa kufanya Regestaring Network...So laini zote zinaonesha zinasoma nikienda kwenye Simcard ila ukituma text, Call inasema No network registerd ukiwasha data haiwaki intenet inakataa
Nikitoa laini zote kuweka kwenye simu nyengine kilakitu safu Network Operator Mitandao yote ipo hamna tatizo yaani.
Shida ni nini na natatuaje wadau.