Safi kabisa King'asti hata mm napenda kiharufu original maana ndio MUNGU alichotuletea yaani tunashindwa hata na beberu/mbuzi. Mimi nipo Kijijini Mwitikira km70 ndani toka Mjinihizo manukato hatutumii kabisa Mama akipaka ni mikononi kwenda Church lakini Watoto tunafyatua vizuri tu sisi na Wanakijiji wenzetu
Km ---- mtu anabisha Waambieni wataalamu watengeneze Parfumu yenye harufu ya *K* km dukani hazikuisha maana kila atakayetest atatoka mkono mfukoni