Msaada: ROM manager app

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau Kwa wale wenyekufahamu jinsi ya kuitumia hii rom manager app Baada ya kuiroot simu
 
Hio app inafanya kila kitu Automatic ukiona inkata ujue

1. Hujaipa root permission angalia kwenye app inayotoa permission (super Su, super user etc) kama rom manager imeruhusiwa kutumia root capabilities

2. Simu yako haisuport. Si kila simu inakubl njia hio
 
Wadau Kwa wale wenyekufahamu jinsi ya kuitumia hii rom manager app Baada ya kuiroot simu

unatumia Simu gani? be careful utabrick Simu hyo kam hauna idea na ROM manager..
 
Subiri wamalize kufuturu tu watakuja mkuu...!.
 
Natumia tecno h6
ROM Manager ni app ambayo inatumika zaidi kumanage android system ya simu yako. Kama utakuwa na root permission/root access unaweza kutumia free version au ukanunua premium version.
Ukiinstall app hii;

  • Unaweza uka-flash custom recovery (clockworkmod/TWRP), na pia
  • inakupa suggestion kuhusu custom roms unazoweza kuinstall kwenye device yako.
  • Unaweza ku-backup stock rom au custom yoyote uliyoinstall kwenye android device yako.

Na mengineyo mengi.

Tanbihi;
Sidhani kama app hii inasupport simu yako. Most devices zinazosupport ni zile device zinazokuwa na development base kubwa kama vile Samsung, HTC, LG, Sony etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…