Hizo file zipo mtandaoni lakini hii simu huwa haikubali sijui kwa nn mimi nisharead kwa infinity, miracle, inferno lakini bado inaiashia katika startup tu
Hizo file zipo mtandaoni lakini hii simu huwa haikubali sijui kwa nn mimi nisharead kwa infinity, miracle, inferno lakini bado inaiashia katika startup tu
Kinacho sumbua hapo bootloader imefungwa jaribu kuifungua kama itakubali ndo uiflash upya. Simu nyingi zenye android 5 kuendelea bootloader zimefungwa.
Na siku nyingine unlock bootloader kwa kuweka OEM unlock on kwenye developer option halafu reboot kwenye fastboot tumia ADB commands au tools inayoweza kufanya hiyo kazi Kabla ya kuflash.
Kama simu ina password na haisomi USB DEBUG kama ni mtk tafuta scatter file lenye full backup hadi userdata halafu chagua option ya firmware upgrade ndo uflash simu yako.