Ni kwel mr. sema mimi nina file nli copy kutoka kene simu ingine ya VFD 300..... nlijaribu ku write kwenye hii yangu ilikataaHabari
Wakuu naomba msaada wa firmware ya hii simu "Vodafone Smart Mini 7 - Model VFD 300"
Nimetafuta kwenye site mbalimbali bila mafanikio
Asanteni
unatumia tool gani na uko wapiNi kwel mr. sema mimi nina file nli copy kutoka kene simu ingine ya VFD 300..... nlijaribu ku write kwenye hii yangu ilikataa
Mm nna backup ya scarter na bin pia... Nme ibackup kwa miracle bR
NINA BIN FILE 3.68 GB
Mm nna backup ya scarter na bin pia... Nme ibackup kwa miracle box ila ukitumia flashtool inagoma
VUMILIA NITA SHARE NGOJA NIWEKE BUNDLE LA KUTOSHA (STAY TUNED)Compress hiyo bin file na 7zip mkuu, share na sisi.... Benny Haraba
I DO KEEP MY WORDS THIS IS THE FILE YOU REQUESTED:Habari
Wakuu naomba msaada wa firmware ya hii simu "Vodafone Smart Mini 7 - Model VFD 300"
Nimetafuta kwenye site mbalimbali bila mafanikio
Asanteni
link hii hapa ila jamani nilikua bussy kwa siku kadhhaaa (PolaTech)Tecno_N2_Scatter_MT6580.7z
I DO KEEP MY WORDS THIS IS THE FILE YOU REQUESTED:
VODAFONE VDF300 - Télécharger - 4shared - Benny Haraba
LABDA NIKIPATA SIMU KM HIYO NI READ KM SCATTER FILE JAPO ITATUMIA MUDA VINGINEVYO UKIPATA MUDA WA KUJA MOROGORO NJOO NAYO KWANI WEWE UKO PANDE ZIPIMkuu asante kwa kushare, Lakini sijaweza kuitumia hii firmware sababu mfumo wake ni .ispff ni read file iliyotengenezwa na cm2mtk module ya infinity box... inahitaji same box ku write back na sina infinity box
kama unayo mfumo mwingine .bin au scatter file nitashukuru sana